Thursday, May 23, 2013

DIAMOND:HIZI NDIZO SABABU KWA NINI NAFANYA VIZURI

Mengi yamekuwa yakisemwa juu ya msanii ambaye inaaminika kuwa ndiye mfalme wa bongo fleva nchini  wapo wanaosema kuwa anatumia nguvu za giza ikiwemo ushilikina na imani ya Fremason ingawa mie naamini kuwa jitahada za mtu binafsi ndiyo mafanikio yenyewe lakini yeye mwenyewe anaamua kusema sili za mafanikio yake kama ifuatavyo:-
    
  1;-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya mwanadamu,so napenda kumtanguliza mungu kwa kila nikifanyacho"

 2;-Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya na matumizi yake makubwa ni chakula na mavazi ya show pengine na mafuta  yagari zaidi naitumia pesa yangu kumeintain muziki wangu"

 3;-"Nampenda sana mama yangu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"
Hizo ndizo sababu chache alizotoa DIAMOND baada ya kuhojiwa na TEETZ kuhusu yeye kuendelea kushine katka industry hii ya bongo fleva

No comments:

Post a Comment