Thursday, May 16, 2013

DOWNLOAD NA SIKILIZA Suma_Lee_-_Wanasema.mp3

Hakika suma lee ana nuksi kaenda kwa Lamah kurekodi nyimbo yake ya wanasema si Lamah kakopi beat kutoka south na sio beat halali ngoma imetoka Suma lee kagundua kuwa beat ni feki! Je Suma anasemaje? Atamuuliza Lamah la hasha Suma kasema hawezi kumuuliza coz Lamah ni mdogo wake ila kanun'gunika sana but sio inshu saana ngoma yenyewe hii hapa hebu ichukue tuone nini kinafuata...............LAMAH USIFANYE HIVYO BHANA TIME NYINGINE.

No comments:

Post a Comment