Thursday, May 16, 2013

LINA NA AMINI WARUDIANA TENA

The true love.............end umeonaaaaaaaaaaa utakuwa unawahusu sana wapenz hawa wawili  kwa saana ambao couple yao ilimake headline saana baada ya kuvunjika miezi nenda rud na kibao zaidi. Pengine ikasemekana kuwa linah ana mchumba mwingine na wangeoana pengine lakin leo nina newz nyingine kuwa Linah na Amini wamerudiana kwa mara nyingiiiiiiiine.         UKIPENDA HUONI BHANA kama vipi mludie mwenzio kiroho safii.

No comments:

Post a Comment